AMO TECH inabuild modern, responsive, na user-friendly websites na applications. Tunageuza ideas zako kuwa digital solutions zinazofanya kazi — bei nafuu kuanzia 50,000/= Tsh tu!
Duka lako mtandaoni lenye mfumo wa malipo, catalog ya bidhaa, na usimamizi wa orders kwa urahisi.
Website ya kisasa ya kampuni yako inayoonyesha huduma, timu, na mawasiliano kwa uwazi.
Platform ya blog ya kipekee yenye usimamizi wa makala, categories, na comments system.
Mfumo kamili wa shule — wanafunzi, walimu, mitihani, matokeo na malipo yote mahali pamoja.
Mfumo wa delivery wenye real-time location tracking, order management, na notifications za haraka.
Bei yetu ya ushindani — Best Price Guaranteed
Wasiliana nasi leo kwa bei kamili
Mimi ni Web Developer mwenye passion na dedication ya hali ya juu katika kujenga websites na applications za kisasa, responsive, na user-friendly. Ninafurahia kugeuza ideas kuwa digital solutions halisi zinazosuluhisha matatizo na kuboresha uzoefu wa watumiaji.
Lengo langu ni kuunda bidhaa za kidijitali bora zinazofanya kazi vizuri na pia zinaonekana nzuri. Daima ninajifunza na kuboresha ujuzi wangu ili kukaa up-to-date na teknolojia za hivi karibuni.